You are currently viewing Video: Mwinyi alivyoingia na kutoka Uturuki kwa siri akitumia ndege ya Orkun

Video: Mwinyi alivyoingia na kutoka Uturuki kwa siri akitumia ndege ya Orkun

Ndege binafsi yenye usajili wa TC-ORK mali ya kampuni ya Orkun ya Uturuki ikiwa imembeba Rais Mwinyi kumrudisha Zanzibar.Mwinyi alitokea Cuba na kutua Uturuki kwa siri hadi kukataa kupokelewa na Balozi wa TZ Uturuki. Inasemekana hao mabwana wa kampuni ya Orkun wanatunza fedha zake anazopata kifisadi kwenye miradi mikubwa Zanzibar.Orkun wana ofisi zao Zanzibar na wamepewa tenda za miradi mikubwa SMZ.Je ni salama kiasi gani kwa Rais kubebwa na watu binafsi, kuishi nyumba ya watu binafsi ugenini kisa tu wanafanya naye biashara za kificho?Hizi fedha za rushwa na 10% za miradi na kuuza bandari kwa wafaransa kwa nini asiwekeze tu Zanzibar anakwenda kuficha ugenini?

Shirikisha