You are currently viewing Tangazo la kubinafsishwa kwa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)

Tangazo la kubinafsishwa kwa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)

Rais Mwinyi na kundi lake wanaendelea na mnada wa kuiuza Zanzibar na kila kilichopo. Hili hapa tangazo la SMZ kuipiga mnada ZECO. Ukweli ni kwamba mnada huu ni geresha kinachotangazwa hapa tayari kuna kampuni inakwenda kupewa. Shirika linakwenda kwa kampuni binafsi ambayo Rais Mwinyi ni mbia kwa kificho. Kampuni itaendesha ZECO inavyotaka na kulipwa na kila mzanzibari anaponunua umeme! CCM na vyombo vya usalama tunajua mnasubiri hadi 2025 lakini mnaweza kukuta nchi iko ICU! Hapa chini tangazo la kuiweka sokoni ZECO!

ZECO.pdf
Shirikisha