You are currently viewing Watano wanaotarajiwa kuchukua nafasi ya Hussein Mwinyi 2025

Watano wanaotarajiwa kuchukua nafasi ya Hussein Mwinyi 2025

Tetesi za ndani ni kuwa CCM na vyombo vya ulinzi na usalama vimeanza mchakato wa kutafuta atakayechukua nafasi ya Hussein Mwinyi 2025.Baada ya kuhusika katika ufisadi wa mabilioni Zanzibar kupitia tenda, uporaji ardhi, kujimilikisha bandari na matendo mengine kinyume na maadili, imeamuliwa sasa tosha. Mpaka jana usiku makada wafuatao wako kwenye orodha ya watarajiwa .. Dk Khalid Salum Mohamed, Hemed Suleiman Abdullah, Balozi Mahadhi Maalim, Balozi Khamis Mussa na Balozi Mahmoud Thabit Kombo.

Shirikisha