You are currently viewing Ufisadi ukarabati Uwanja wa Amani Zanzibar ni mkubwa kuliko wa Uwanja wa Mkapa DSM

Ufisadi ukarabati Uwanja wa Amani Zanzibar ni mkubwa kuliko wa Uwanja wa Mkapa DSM

Fikiria wewe kwa akili zako timamu … Uwanja wa Mkapa wenye uwezo wa kuchukua watu alfu sitini unakwenda kufanyiwa matengenezo kwa bilioni 31. Uwanja wa Amani hapa Zanzibar wenye uwezo wa kuchukua watu alfu kumi na tatu tu unafanyiwa matengenezo kwa kwa bilioni 52! Kuli mmoja juzi kasema Zanzibar Hussein Mwinyi kaigeuza mlango wake wa duka!Inshallah Mwenyezi Mungu atunusuru.

Shirikisha